ujumbe wa Tanzania unaoshiriki Mkutano wa Nchi  zisizofungamana na Upande Wowote (NAM) nchini Iran. Katikati nyuma ni Mkurugenzi wa Idara ya Udhirikiano wa Kimataifa, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy, kulia kwake  Bw. Christopher Mvula, Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati. Kushoto ya Balozi ni Bw. Justin Seruhere, Kaimu Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa akifuatiwa na Bw. N.M Mboyi, Kaimu Mkurugenzi, Idara ya Sera na Mipangona mbele ni mpiganaji Ally Kondo, Afisa Mawasiliano Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Nahii ni moja ya "KERO ZA MUUNGANO"

    ReplyDelete
  2. Jamani, Haya maelezo mbona mengine ya uongo. Hebu Mwandishi rekebisha hivyo vyeo vya watu.

    ReplyDelete
  3. Waheshimiwa safarini huko Iran, mkija safari ya kurudi Tanzania muilete Nyukilia tuje tuielekeze kipiga Malawi!

    ReplyDelete
  4. Siyo kero ya muungano ni kero ya dini. Watu tunao fata dini ya shia tunaelezwa kwamba Rais Kikwete ana fata dini ya suni na serikali yake ndiyo ina wapeleka watu wasio na daraja kubwa na wana onesha picha za balozi wa Yemen. kuonesha ubaguzi wa rangi. Ukifanya utafiti mambo mengi nime tendewa kwa sababu ya rangi na dini yangu. Kwa mimi binafasi nina taka kurudi nyumbani mimi piya nina taka kuwa pamoja na familia yangu. Sina haja kuonana na Rais Kikwete au Rais Obama. Nina amini kwamba Rais Mstafuu Rais Mwinyi na Mkapa pamoja na Rais Karume wata furahi kuonana na mimi. Waziri Mkuu Panda,Dr. Bilali,Dr.Shein Dr.Salim Ahmed, Judge Warioba,Mhes.Luwasa, Dr. Migiro etc. Nime tumia wakati wangu kuhakisha kwamba watu nyumbani wasini sahau na history isi zulumu wakina mama kama mimi. Nina omba watalamu na Rais Kikwete wasitumie dini yangu kuni onea mimi siyo sababu za changamoto yalio tokea Tanzania,au Chamgamoto ya uongozi wa Rais Kikwete. Mimi nili tumiwa na Serikali ya Rais Kikwete pamoja na Rais Obama sababu mimi si fahamu. Sioni kosa nilio tenda. Nina sema tena sina haja kuonana na Rais Kikwete. Sasa wakati waTanzania tu songe mbele kwa amani. Mungu Ibarike Tanzania, Mungu ibarike Afrika.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...