Wakala wa Vipimo ni miongoni mwa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara. Majukumu makuu ya Wakala hii ni kumlikinda mlaji kwa kuhakikisha kuwa vipimo vyote vinavyotumika katika biashara na maeneo mengine ni sahihi.
Wananchi wakipata maelezo kuhusiana na matumizi ya aina mbalimbali za mizani zinazotumika katika biashara.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiangalia kwa umakini namna ya kufanya uhakiki wa mawe ya mfanyabiashara.
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mipango Mr. Moses Ntungi akifanya mahojiano na vyombo vya habari juu ya umuhimu wa matumizi ya vipimo sahihi katika Sekta ya Kilimo ikiwa ni njia mojawapo ya kumkomboa mkulima.






Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...