Mshauri wa Ubalozi wa India, Kunal Roy akiongea katika mkutano na waandishi wa habari kuhusu ziara ya kitalii ‘’ Utalii wa Afya‘’ itakoyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee kuanzia tarehe 30 na 31 Augusti. Moja ya lengo ikiwa ni kujuana kwa wasomi na kuelimishana na kuboresha huduma.
Mkurugenzi wa Shirikisho Kanda ya India Chemba ya Biashara na Viwanda (FICCI), Lt. Vivek Kodikal (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari katika ubalozi wa India uliopo jijini Dar es Salaam jana kuhusu ziara ya kitalii ‘’ Utalii wa Afya‘’ itakoyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee kuanzia tarehe 30 na 31 Augusti. Moja ya lengo ikiwa ni kujuana kwa wasomi na kuelimishana na kuboresha huduma.
Waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini mazungumzo hayo.
Good business!! Wamekuja kuangalia wateja wao watarajiwa!! Maana sasa hivi karibu kila wiki lazima mtu mmoja apeleke dola na yuro na rupee India kwa matibabu!!
ReplyDeleteHizi sera nzuri za Baba zao ambao waliwekeza kwenye sekta ya afya, na sasa wanavuna.
Nafikiri hata Cuba wakifanya marketing nzuri watakuwa na watalii wengi wa kwenda kutibiwa, ama kuangalia afya zao maana na wenyewe waliwekeza sana kwenye sekta ya afya.
Sisi tumewekeza kwenye nini kwa ajili ya watoto wetu??