Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Kalenga na Waziri wa Fedha , William Mgimwa kwenye viwanja vya Buge Mjini Dodoma Agust 7, 2012.
Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza  na Mbunge wa Tabora Mjini , Aden Rage (katikati) na Mbunge wa Viti Maalum Margaret Sitta kwenye jengo la utawala la Bunge Mjini Dodoma Agust 7, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


 
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...