Mhe. Bernard K. Membe (MB), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa (pichani kulia) akimpokea Mhe. Morgan Richard Tsvangirai, Waziri Mkuu wa Zimbabwe aliyewasili leo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam. Mhe. Waziri Mkuu Tsvangirai atakuwa nchini kwa ziara ya kikazi na anatarajiwa kukutana kwa amazungumzo na Mheshimiwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kesho Ikulu, jijini Dar es Salaam.
Home
Unlabelled
Waziri Mkuu wa Zimbabwe awasili nchini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
kibaraka wa wadhungu huyu hana uzalendo kama mzee mugabe
ReplyDeletendani ya airforce one
ReplyDelete