Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi Khamis Suedi Kagasheki amekanusha uvumi unaosambazwa na Shirika moja kupitia mtandao wake wa AVAAZ.org kuwa watanzania wa Jamii ya Kimasai wapatao 48,000 watahamishwa kutoka eneo lao (la Serengeti) kupisha Wafalme kutoka Mashariki ya Kati ili walitumie eneo hilo kwa uwindaji wa Simba na Chui.
Taarifa hiyo iliyosambazwa na mtandao huo imewataka watu kutoka duniani kote kujiorodhesha ili wafikie angalao 150,000 ili kumshinikiza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuacha kusaini mkataba ambao utafanya uhamisho huo utekelezwe.
Waziri Kagasheki amesisitiza kuwa uvumi huo siyo kweli na hauna msingi wowote kutokana na sababu zifuatazo:


sijaelewa ila nimezoea matamko na kukanusha.hivyo si mbaya tumepata chakula kile kile leo tena
ReplyDeleteLisemwalo lipo na kama halipo .....!
ReplyDeletePengine tumuuize waziri kuwa kama jambo hilo halipo ni kwa nini azuie watu wasisaini?
Gazeti la The Guardian la Uingereza 15/08/2012:#
ReplyDeleteNearly 750,000 people have signed the Stop the Serengeti Sell-Off petition on the online activism site Avaaz.org, which says government ministers' Twitter and email accounts are also being swamped by messages from its members. But the Tanzanian government vehemently denies the allegations, maintaining that those who sign the petition are being misled by an "unfounded and nonexistent eviction claim".
Disputes over the land on which the Maasai live and herd their cattle have been running for 20 years. Seeking income from tourism, the government has welcomed foreign investors including the Ortelo Business Corporation (OBC), a safari company set up by a UAE official close to the Dubai royal family.
Soma zaidi source: http://www.guardian.co.uk/world/2012/aug/15/tanzania-evict-maasai-uae-royals