Balozi wa Tanzania nchini Kenya Mhe Batilda Burian akisalimiana na mfanyabishara maarufu wa Tanzania na Afrika Mashariki na Kati Bw. Davis Mosha jijini Nairobi. Bw Mosha pamoja na biashara pia ni mpenzi mkubwa wa michezo na amewahi kuwa kiongozi wa timu ya Moro United na Yanga. Pia ni dereva mashuhuri wa magari ya mashindano, ambapo akiwa na umri wa miaka 38 tu ameweza kurekodi mafanikio makubwa katika nyanja zote hizo. Kusoma habari zake zaidi BOFYA HAPA
Home
Unlabelled
Balozi Batilda Burian akutana na mfanyabishara na mwanamichezo mashuhuri Davis Mosha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Though unatia hamasa kwa vijana kama sisi naomba nikushauri mawili matatu ufanye editing ya profile yako kama kwa mfano umetumia neno pry instead of ply na pia angalia uwezekano wa kutotoa details nyingi sana kwa mfano kuhusu familia yako na pia punguza ur individual flamboyancy but continue to build on visibility of ur company as a brand! BTW muhimu zaidi angalia uwezekano wa kuendelea kuwa juu haswa baada ya Kenobil-kobil kuuzwa kwa Puma Energy maana kuna uwezekano wa logistics services kupewa mwingine! Jaribu kutobweteka kama kampuni ya ZEK Advertising ambayo ushindani umeiondoa katika ramani baada ya uuzwaji wa iliyokuwa Celtel na kuchukuliwa na Wahindi walioamua kutoa tender advertisement kwa Scagroup ya Wahindi wenzao!
ReplyDeleteHuyu mdau wa hapo juu sijui anaelezea nini
ReplyDeleteAnachoelezea ni ushauri wa bure kuangalia mbele yasije kumkuta ya ZEK. Mbona inaeleweka tu?. Umeshawahi kusikia somo linaitwa Strategy au Strategic Planning?
ReplyDeleteHata mimi simuelewi
ReplyDeleteHuyo Mdau wa kwanza yupo very very sahihi..wewe mdau wa pili ndio hujitambui kabisa...Mdau wa kwanza katoa analysis very very crucial...mshikaji ana personal flamboyancy ambayo kaiingiza kwenye kampuni ambayo kimsingi ni brand inayojitegemea kabisa..company profile yake inajieleza kabisa na inatoa ushahidi tosha wa hilo...na pia mechanics ya Kobil kwenda Puma na anything can happen on his contract...Mdau wa kwanza katoa jambo sahihi kabisa kwamba jamaa akomae zaidi na kua humble na diversity za kutosha na hii kuchanganya tabia binafsi za kifamilia kwenye kwenye corporation sio sahihi,hiyo method ilisha-prove failure more than good...mdau yupo sahihi kabisa,na namuunga mkono.
ReplyDeletekwa sie watu wa biashara tunamuelewa huyu jamaa na ametoa ushauri mzuri
ReplyDelete