Home
Unlabelled
Ujumbe kwa Watanzania wote waishio Marekani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ReplyDeletezikitokea nafasi za kazi ubalozini mnatafuta watu kutoka Tanzania kuja hapa kupokea simu kazi ambayo ingeweza kufanywa na mtanzania wa kawaida hapa USA. lakini ikifika wakati wa kugawa mahandazi na maharagwe basi tunakaribishwa lakini kwenye swala la ajira hamtuoni.
Asante sana kwa mwaliko!
ReplyDeleteAnnoy wa kwanza umesema kweli...na kukiwa na opportunities za tender huko nyumbani, na za biashara na makampuni ya USA wanachukua wao na ndugu zao...sisi wasindikizaji tu...!!
ReplyDelete