Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar Kujitambulisha,chini ya Mwenyekiti wake Dkt.Khalid Salum Mohamed,(wa pili kulia).
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii, Dkt.Khalid Salum Mohamed,(aliyesimama) akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, wakati Wajumbe wa Bodi hiyo walipofika Kujitambulisha Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwa katika picha na Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar Kujitambulisha,chini ya Mwenyekiti wake Dkt.Khalid Salum Mohamed,(wa nne kushoto). [Picha na Ramadhan Othman,IKulu.]
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...