Refarii wa mpambano akiwaelekeza mabondia wasicheze kwa kukumbatiana |
Bondia Karama Nyilawila kulia akijitaidi kukwepa makonde ya mpinzani wake Fransic Cheka wakati wa mpambano wao uliofanyika usiku wa jumamosi cheka alishinda kwa K,o raundi ya sita |
Mabondia Karama Nyilawila kushoto akionesheana umwamba wa kutupa masumbwi na Fransic Cheka wakati wa mpambano wao cheka alishinda kwa K,O Raundi ya sita |
Fransic Cheka kushoto na Karama Nyilawila wakiwa uringoni kuoneshana uwezo wa kutupiana masumbwi Cheka alishjnda kwa K,O ya Raundi ya sita |
Mabondia Karama Nyilawila kushoto na Fransic Cheka wakionesheana umwamba wa kutupiana makonde wakati wa mpambano wao uliofanyika usiku wa jumamosi katika ukumbi wa PTA Sabasaba Cheka alishinda kwa KO raundi ya sita |
Mzaha mzaha hutumbua usaha!
ReplyDeleteHawa jamaa wasije wakatuachia majonzi kwa kuanguka na kufia Ulingoni muda wao umekwisha pia wana fanya michezo bila kufuata kanuni za maadili kwa hulka zao,
-Ni walevi kupindukia,
-Dishi na lishe zao mgogoro,
-Ni Vijogoo kwa sana,
Hivi kwa hayo matatu hapo juu ingawa kifo hupangwa na Mola haiwezi kutokea au hatuwezi kuomboleza siku moja?