Ndugu
Dismas Massawe, (aliyeinua gazeti) CEO na Mkurugenzi Mtendaji wa MAN Magazine
akiongea na waandishi kwa nini kampuni yake inajihusisha kwa karibu katika
kampeini ya kutoa elimu, utetezi na msada kwa gonjwa saratni ya tezi dume.
Wengine katika picha ni Dr. Kandusi, Mratibu wa Tanzania 50 Plus Campaign na
Mr. Kaale mtaalamu wa tiba ya mionzi wa
Ocean Road Cancer Institute.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...