DR. ALFRED FREDERICK MSAKI (MUSSA)
16/03/1929 - 14/09/2009
Ni saa, siku, wiki, mwezi, mwaka, hatimaye MIAKA MITATU imepita bila kusikia sauti, busara,hekima, moyo wa karama, upendo, ucheshi, mawaidha yako.Kimwili haupo nasi bali kiroho upo nasi na tuneendelea kukuenzi na kuyaendeleza yale yote uliyotuachia. Unakumbukwa sana na Mke wako, watoto, wajukuu, vitukuu, majirani, ndugu, jamaa na marafiki. Sisi familia tunamshukuru Mungu kwa kutubariki kuwa na baba yetu mpendwa Dr. Alfred Msaki.
TULIKUPENDA NA TUNAENDELEA KUKUPENDA
ILA MUNGU ALIKUPENDA ZAIDI...
“NIMEVIPIGA VITA VILIVYO VIZURI,
MWENDO NIMEUMALIZA, IMANI NIMEILINDA”
(2 TIMOTHEO 4:7)
Amen!
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...