Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akibadilishana mawazo na balozi wa Cape Verde nchini Marekani bibi Fatima Veiga (kushoto). Wa pili kushoto ni balozi wa Tanzania nchini Marekani bibi Mwanaidi Maajar na kulia ni afisa ubalozi wa Tanzania nchini humo Suleiman Saleh.
Bw.Suleiman Saleh, Afisa Ubalozi wa Tanzania Washington DC akizungumza na Balozi wa Malaysia nchini Marekani Mhe.Othman Hashim huku Makamu wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe.Seif Shariff Hamad akisikiliza kwa makini.
Makamu wa Kwanza wa Rais SMZ Mhe.Seif Sharif Hamad akizumngumza na Balozi wa Malaysia nchi Marekani Mhe.Othman Hashim.Mazunngumzo yao yalihusu ushiriakiano baina ya Malaysia na Tanzania.
Balozi wa Msumbiji nchini Marekani (kushoto) akibadilishana mawazo na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad huko Marekani. Kulia ni balozi wa Cape Verde bibi Fatima Veiga. (Picha zote na mpiga picha maalum, New York).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. maalim seif nakuona unangara na kuonekana kijana kweli wadhifa unamtoa mtu out ha ha ha

    ibaniye na hii commment issa muhidin michuzi si ndo zako

    tukiandika ukweli unachekachoa na tukiandika kiutani tani pia sijui kwa nini

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...