Home
Unlabelled
Manzese itakavyoonekana baada ya kukamilika kwa barabara ya mabasi yaendayo kasi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kwanza waanze na kupanda miti na bustani alafu wajizoeshe kumwagilia maji ili kufanya mji uonekane nadhifu na kijani nina uhakika kwa jitihada ya wananchi tutaweza
ReplyDeletetukitegemea jitihada za viongozi hatutoweza na wala hatutofika mbali kwani viongozi wanajichumia binafsi na matumbo yao bila kujaribu mafanikio kwa taifa.
Bongo Tambarale!
ReplyDeleteKila kitu shasha chini ya jua!
Ingawa ni picha tu bandugu Wamajuu fungasheni mafurushi yenu mrudi nyumbani harakaaa,
hakuna haja ya kukaa huko mnaona sasa?
1.Treni tunazo kwa usafiri mjini,
2.Fast buses ni hizo sasa,
Yanini muendelee kuteseka ugenini?
Na je, ni hatua gani zitachukuliwa kudhibiti wavuka barabara hovyo? Watu wasiotaka kufuata vivuko vya barabara na badala yake kukatiza bila mpango? La sivyo ajali zitakuwa komesha...!! Mdau, CA-USA
ReplyDeleteNi TAMU!!
ReplyDeleteUsimamizi utazingatiwa kwa mtaji huu itabidi tuweke 'security surveilance cameras' achilia mbali kutupa taka ile hata kuachia 'upepo' itakuwa ni kosa!
ReplyDeleteKuanzia atakaye haribu hewa kituo cha Mabasi na kuwabughudhi abiria atachukuliwa hatua!
Inabidi paweko Pilisi Post za kumwaga ili kizingatia usimamizi!
Nakunya hadharani pakiwa pasafi namna hiyo
ReplyDeleteNi wazo zuri wote tungependa iwe hivi, lakini hali halisi ni nyingine - Machinga wako wapi hapa na dala dala zilizosimama barabarani zikitengeneza foleni ziko wapi? Pia watu waliodandia hizo rapid transport bus huyawaweka
ReplyDeleteNi Wazo zuri tu. mdau dar
Tatizo ni pale wenyeji watakapoanza kujisaidia HAJA zote huko juu ya paa
ReplyDeleteI don't care... kama kutakuwa hivi kura yangu ni kwa CCM 2015,
ReplyDeleteKUNA KITU HAPO NIMEONA LABDA MIE NIMEONA TOFAUTI UMEULIZA USAFI WA MAZINGIRA JE NDIO WATU WATAKUWA WANAKATIZA KWENYE MAJANI? AU HAPO KWENYE MITI NDIO KUTAENDELEA BIASHARA NDOGONDOGO KWANI HAWAPATIWI SEHEMU HIZO NDIO ZINAZOWEKA UCHAFU HAPO, AU HII PICHA NIA YAKE ILIKUWA KUONYESHA KITUO KITAVYOKUWA TU? XX
ReplyDelete
ReplyDeleteINAWEZEKANA!!!
Ni kuweka ULINZI MKALI SANA, UFUATAJI WA SHERIA ZILIZOWEKWA, NA UFUATILIAJI.
WaTZ tutalazimika kubadilika sasa,
USIPITE HAPA.
USITUPE TAKATAKA HAPA.
PITA HAPA.
USIKAE HAPA....VIFUATWE...
Tuache ujinga.
asante, sasa nimeelewa!!!!nilikuwa nachanganyikiwa kiasi gani wabongo tutagongwa!!!lakini vibaka huko juu itakuwaje?hilo limeangaliwa?
ReplyDeleteUtashangaa wabongo tunakatiza badala ya kutumia daraja. Yangu mimacho....
ReplyDeleteUsiwe na hofu, watanuaji wataifuata njia huko huko!
ReplyDeleteHaya wale wa UK semeni sasa.Mna longa sana ,hata kabla ya mchuzi haujaiva ,mnaanza kulaumu -o hauna chumvi.hii tabia mbaya acheniiii. o hatuoni vituo ,o hakuna alama za barabarani, hivi nyie huko ooo, mnatuona sisi huku hatuna akili ???? please ,shut the F ... up. Zebedayo msema kweli.
ReplyDeleteHadidu za rejea na kuganga yajayo:
ReplyDeleteDaladala zitatanua humo humo na kupandishiana kifua na hayo mabasi maalum (pisha! pisha wewe, nchi yetu sote hii!). Jihadharini.
Kingo zidhibitiwe vilivyo kutoruhusu magari mengine kuingia kwenye hizo barabara.
Msitumie vyuma, machizi yatang'oa yakauze.
Jiandaeni na vandalism ya hali ya juu.Ikiwemo michoro ('machata') na matangazo kwenye kuta.
Msitumie vioo, vikivunjwa hamtaweza kukarabati hadi baada ya miaka 6 na hivyo kuchafua muonekano wa mazingira. Tumieni louvers.
Achaneni na bustani, ni nguvu ya soda tu hiyo. Badala yake wekeni concrete ama lami kabisa. Kwenye concrete machizi yatatia chata za ajabu ajabu.
Zingatieni uvukaji wa barabara kwa umakini sana. Sio mpaka watu wafeee weee ndio mtie akili.
Jiandaeni kwa hayo mabasi kuwa sabotaged kutokana na ushindani yatakayosababisha. Pia kama ni mabasi maalum na kama yatakuwa mengi yawe na gereji maalum.
Basi mbili kila ruti ziwe kwa ajili ya wanafunzi tu nyakati za asubuhi na jioni. na kama vipi zisiwatoze nauli kati ya saa 12 na 1 asbuhi na kati ya saa 10 na 12 jioni (maisha bora kwa kila Mtanzania, japo kiduchu tu).
Basi ziendeshwe na polisi na wanajeshi, japo kwa miezi 6 ya mwanzo, kuepusha ajali zisizo za lazima. Hawa jamaa wana mishahara tayari na pia wana jukumu la kulinda raia.
Ww unaye uliza vibaka nadhani unamiaka hujaenda bongo. sikuhizi hata vibaka wana blackberry bongo tambarareeeeee kwa hiyo wizi umepungua sana
ReplyDeletemdau sept 13 na zebedayo mnaongea kama mko ucingizin sio wenzenu wanongelea train za kasi kwenda eorpe yote within 1hr nyie mnaongelea vituo vya mabasi kwenye njia ya 13miles(kimara-town)endeleen na usingizi wenu tu ila nawaaambia dunia ya tau ni ya tatu tu endeleen kujidanganya tu kufananisha mbele na tz tena njia ya 13miles tena dar tu wakati watu kny nchi zao tena kote mpaka vijijini karibu karne mbili zimepita wana mambo kushinda hayo
ReplyDeleteNinyi mnaochangia hoja hasi mmejificha tu huko nje hakuna kitu kinachofanyika bongo msi kandie! Ninyi mnasumbuliwa na ukiwa tu! Rudini home bongo ya leo si ya enzi hizo mlipozamia meli kigamboni!
ReplyDeleteZebedayo nenda shule kijana, mie nipo Tanzania ila nakuona kama huna akili vile? Unashauri watu warudi kisa Bus za speed usichekeshe watu, Wa-Tanzania TUKIONA MAGOROFA NDIO TUNAONA MAENDELEO UKWELI UPO PALEPALE WATU MADARAKANI WAMENGANGANIA NAFASI NA ELIMU WATU WANAZO HAWAPEWI NAFASI, Wa-TANZANIA TUELEWE SABABU BAAZI YETU MAISHA MAZURI HAPA TANZANIA HAIMAANISHI NDIO MABAYA YANAYO WAPATA WENZETU TUYAKALIE KIMYA MIE NAWASHAURI WA NJE MJE KUJARIBU MKIONA GHALI MBAYA MRUDI HUKO KWANI DUNIA NI YA MUNGU ISHI UNAPOPENDA UKIONA HAPA PAZURI BAKI HUYU ZEBEDAYO HAJUI ANACHOONGEA MNAFIKI TU MKIONA MAGOROFA HAIMAANISHI NDIO MAISHA MAZURI MFANO INDIA MIGOROFA SASA WATU KUNI JUU YA GOROFA KAMA AJIRA HAWAPEWI WAHUSIKA NCHI WATAKOSA KAZI WEnGI NA MAKAMPUNI KUFA TUKAONA KARIAKOO WATU WANAPANDA NA KUNI JUU YA MAJENGO YAO KWA UCHUMI MBOVU TUPEANE USHAURI MZURI. MANGI
ReplyDeleteKwenye kila barabara itakayopita mradi i.e Mbezi-Kivukoni,Mbezi-shule ya Uhuru,Kivukoni-Gongo la mboto,Kivukoni-Mbagala,Kivukoni-Tegeta,Morroco-Mgulani JKT ..itakapoisha Daladala zinapigwa marufuku kupita mjia hiyo kwa hiyo hakuna ishu ya kupanda kingo.Kutakuwa na kampuni ya serikali sio UDA itakayofanya kazi hiyo na itaajiri madereva wake na mafundiwake.Hakuna shida hata hiyo picha mnayoona ni mradi kama huu uliofanyika Bogota Colombia
ReplyDeleteelimu ni muhimu sana hivi ni nani aliekwambia watu waliopo ughaibuni wamefata kuona matrain au magolofa?
ReplyDeletewatu wanatafuta mihela unawaambia rudini nyumbani hayo mabasi na train za huko bongo yayawapa hela? mwehu mwehu akili mbofu mbofu
Mdau Anonymous wa Fri Sep 14, 11:51:00 AM 2012
ReplyDelete....watu waliopo ughibuni wamefata kuona matrain au magolofa?...watu wanafuata mihela unawaambia rudini nyumbani hayo mabasi na train za huko bongo yayawapa hela?
WEWE BWEGE MTOZENI KABISA, HUFUATILII MAMBO YA DUNIA NA MABADILIKO YA MAISHA,
1.KWA TAARIFA YAKO MAJUU ULAYA NA MAREKANI KUMEFILISIKA NCHI ZOTE ZINA HAHA KAMA UNATUMIA AKILI PENYE MSIBA UTAOMBA JAMVI?
2.UPEPO UMEBADILIKA HIVI SASA NI AFRIKA, WAZUNGU WENYEWE WANAHAMISHA MITAJI YAO INAYONUSURIKIA KUFILISIKA KUILETA KWETU KWENYE SEKTA YA MAFUTA NA GESI.
SASA KWA TAARIFA YAKO MAISHA YANAHAMIA HUKU AFRIKA NA HASA TANZANIA KWENYE OIL AND GAS!
Mdau wa Fri Sep 14, 11:51:00 AM 2012
ReplyDelete...mihela Majuu ilikuwa kipindi kile kitambo, hivi sasa njaa kali sana huko, na sasa mambo iko huku Tanzania!
Kalaga baho!