
Marehemu Meja Jenerali Mstaafu,
Anatory Ruta Kamazima
---
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linapenda kuwafahamisha wananchi kuwa Meja Jenerali Mstaafu, Anatory Ruta Kamazima (pichani), ambaye amefariki dunia mwanzoni mwa wiki hii, ataagwa rasmi katika Hospitali ya Lugalo tarehe 29 Septemba, 2012 saa saba mchana (7.00 mchana) Nyumbani kwa marehemu eneo la Tegeta - Kibaoni baada ya soko la Nyuki Maruku Cottage.
Imetolewa na
Kurugenzi ya Habari na Uhusiano
Makao Makuu ya Jeshi, Upanga



familia yetu pamoja na watanzania wote tunatoa mkono wa pole kwa familia ya mzee wetu meja jenerali kamazita katika wakati huu mgumu na wa majaribio kutoka kwa muumba,apumzike kwa amani mzee wetu,kamanda,kiongozi shujaa aliyekuwa mstari wa mbele katika taifa letu.
ReplyDeleteameen.
familia ya marehemu brigedia genaral haji mrisho,zanzibar.