Home
Unlabelled
mnyama wa msimbazi aendelea kuunguruma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Siku ya Jumatano tarehe 3 Oktoba, 2012 ni siku ya kiumbe kuchinjwa mchana kweupeeee!
ReplyDeleteNi mimi YSC nina uchu wa mchuzi na nyama za 'mnyama' !
Mate yamenijaa mdomoni balaa!
Jamani pana uwezekano siku zikarushwa tukafika Jumatano hiyo?
Ukiona manyoya ushiku ya Jumatano tarehe 3 Oktoba , 2012 usiulise!!!
ReplyDeleteKabla jua kusama Mnyama kwisa chinjwa?
Simba zile bao 5-0 mlitufunga kwa rushwa na mipango ya Mwenyekiti wenu, tulichomoa mabao kwa kumnasa Mbuyu Twite na hiyo J5 tunageuza mtalimbo tunawazamisha na ninyi 5-0 !!!
ReplyDeleteMpo hapo?
Simba safari hii hamtoki Jumatano mbele ya Yanga SC!
ReplyDeleteManji anawaambia ''naona ile janja yenu shishi kwisa jua ee? ''
Tutawafunga mabao sawa na mwaka wenu wa kuzaliwa mabao 1938 kwa Sifuri!
Mwisho wa Mpira dakika ya 90 balo la matokeo litasoma:
YANGA S.C-1938
SIMBA S.C-0
Simba S.C kuwafunga Askari Magereza ambao wamevaa nguo za Kijani msije mkachukulia kuwa mmeifunga Yanga S.C!...Hapana!!!
ReplyDeleteHao ni Askari Magereza tu, kwa kuwa kama mnavyoona hata Magwanda yao ni ya rangi ya Kijani, hapo ni kuwa Kijani hiyo wametimiza kanuni ya Nguo zao za Kazi tu !!!
Leo ndio leo kazi kwenu ni J5 ya 3 Oktoba, 2012 , si mlililia chai?, kwanini mlalamike mnaungua?