Wachezaji wa timu ya Moshi veterani wakiwa katika mazoezi katika Senpai Gym ya mjini Moshi kujiandaa na mechi mbili Morogoro
Tizi likiendelea
Tizi la tumbo na ubavu
Mdau akijiandaa 'kutembea' kilomita kadhaa
mwalimu wa mazoezi katika kituo cha mazoezi cha Senpai fitness center kilichopo Sabasaba jiranina uwanja wa Meimorial,Senpai Samwel Njau mwenye kofia akitoa maelekezo ya mazozi kwa wachezaji wa timu ya Moshi veterani.
Picha na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii


ReplyDeleteHili ni tangazo la GYM?