Meneja Mawasiliano wa shirika la ndege la Precision Annette Nkini (wa pili toka kushoto),akimkabidhi Sarah Nadhan Mwanjelele,tiketi ya kwenda Afrika Kusini aliyoipokea kwa niaba ya mume wake Lusako Mwanjejele aliyoshinda katika bahati nasibu ya kampeni ya MOYO iliyoendeshwa na wafanyakazi wa Idara ya Masoko ya Vodacom na Precision Air mapema mwaka huu kwa ajili ya matibabu ya wakina mama walioadhirika kwa ugonjwa wa fistula,wanaoshuhudia kushoto ni Elizabeth Mtegwa na kulia ni Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu.
Meneja Mawasiliano wa shirika la ndege la Precision Annette Nkini (wa kwanza toka kushoto),akijadiliana na Sarah Nadhan Mwanjelele watatu toka kushoto kuhusu zawadi ya tiketi ya kwenda Afrika Kusini aliyoipokea kwa niaba ya mume wake Lusako Mwanjejele aliyoshinda katika bahati nasibu ya kampeni ya MOYO iliyoendeshwa na wafanyakazi wa Idara ya Masoko ya Vodacom na Precision Air mapema mwaka huu kwa ajili ya matibabu ya wakina mama walioadhirika kwa ugonjwa wa fistula,wanaoshuhudia wa pili toka kushoto ni Elizabeth Mtegwa, kulia ni Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu.
.Baadhi ya washindi wa tiketi ya kwenda Afrika Kusini waliyoshinda katika bahati nasibu ya kampeni ya MOYO iliyoendeshwa na wafanyakazi wa Idara ya Masoko ya Vodacom na Precision Air mapema mwaka huu,wakiwa kwenye picha ya pamoja na Meneja Masoko wa shirika la ndege la Precision Linda Chiza wapili toka kushoto,Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. huo ni mchango mzuri..japo mwandishi angefafanua ni ugonjwa gani huo unaitwa wa fistula..najua ugonjwa wa moyo wengi tunajua.
    Halafu Precision air, bado wanatoa tiketi za karatasi? e-tickets ndio mtindo wa siku hizi, na hata boarding pasi za karatasi zinazidi kupitwa na wakati kutegemeana na kiwanja gani mtu anarukia, lakini viwanja vikubwa ughaibuni unatumia smart phone ku-checkinna kudownlaod boarding pass..
    Bongo tambarare au tambalale?!

    omuburi bakorea

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...