Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman akimpatia hati ya kiapo Mtendaji Mkuu wa Mahakama, Mhe. Hussein Kattanga mara baada ya kuapishwa kwake kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Mahakama. Anayeshuhudia katikati ni Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Ignas P. Kitusi. (Picha na Mary Gwera, Mahakama ya Tanzania)
Home
Unlabelled
MTENDAJI MKUU WA MAHAKAMA, MHE. HUSSEIN KATTANGA, AAPISHWA KUWA KATIBU WA TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...