OFFICE YA TAWI LA CCM NEW YORK
NA TRI STATE INATANGAZIA WANACHAMA WAKE KWAMBA TAREHE 15/09/2012 KUTAKUWEPO NA
MKUTANO MKUU WA WANACHAMA WOTE NA MKUTANO UTAFANYIKA 498 E 167TH STREET, BRONX NY 10456 KUJADILI AGENDA ZIFUATAZO:
1- KUANDIKISHA
WANACHAMA
2-UGAWAJI WA KADI
3-UCHAGUZI WA VIONGOZI WA KUDUMU
MUHIMU ZAIDI NI KWAMBA KAMATI
ILIOPO SASA NI YA MUDA, HIVYO MNAOMBWA NYOTE KWA JUMLA KUSHIRIKI ILI MPATE
FURSA YA KUCHAGUA VIONGOZI MUATAKAO.
KIDUMU
CHAMA CHA MAPINDUZI
OFISI
YA CCM NY NA TRI STATE
MWENYEKITI
WA MUDA
M.
MAFTAH
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...