KAMATI YA MUDA INAWAKARIBISHA KATIKA HAFLA NDOGO YA KUCHAGUA
VIONGOZI WA JUMUIYA SWEDEN.
WACHACHE WAMEJITOKEZA KUGOMBEA NAFASI MBALIMBALI ZA OUNGOZI NA WENGINE AMBAO WANGEPENDELEA KUGOMBEA PIA WANAKARIBISHWA (NAFASI BADO ZIPO)!
MAHALI: UBALOZINI,
NÄSBY ALLÈ 6
Tarehe: 29/9/2012
SAA: 9 mchana mpaka saa 12 jioni
WOTE MANAKARIBISHWA!
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...