Familia ya Hosea
Talawa wa Bahari Beach, Dar es salaam, inasikitika kutangaza kifo cha mpendwa
wao Mama Dorah Talawa (pichani) kilichotokea nchini India Ijumaa tarehe 28 Septemba, 2012 alikokwenda kwa matibabu.
Mwili
unatarajiwa kuwasili leo Jumapili tarehe 30 Septemba 2012 saa Saba mchna na Qatar Airways. Mazishi
yanatarajiwa kufanyika Jumatatu tarehe 1
Oct 2012. "
Bwana alitoa na bwana
ametwaa,
jina lake lihimidiwe - AMINA."
Mama alikuwa na roho nzuri sana huyu. Mungu amlaze mahali pema peponi.
ReplyDelete