As an African man it seems like the Western countries present us in a way that shows we cannot survive by ourselves. Every newspaper, every television channel, every mainstream internet article represents us as being very needy people. It seems like these missions and tactics have been used before to put people down. There are studies, one study from Oxford University.
To me, these studies are stupid. You pay the professor, spend a bunch of money to study things that even the little chicken knows already. This professor says that if you put people together and give them things for free, they're going to become lazy and no longer know how to make things happen for themselves.
If you take a wild dog and make him domestic, but then try to put him back in the wild, can he get anything for himself? If they know that if you give people something for free that they're not going to be productive, why do they give African people stuff for free? What are they trying to do? Do African people really really need that stuff? Africa has been around since the beginning of time. Africa has been surviving since the beginning of time.
All those rich countries never had any money before they went to Africa to get the resources. And the shit they give Africa is the shit Africans don't need. Even the Americans and Europeans don't need it! Africa now has become like a junkyard. Everything the rich countries want to dump, where do they go to dump it? I know these are the tactics used to put African countries in debt.
These tactics are being used right now by the smartest, intelligent, thinking people in the world - the Chinese man. Everything the Chinese have dumped in America was manufactured on American credit. So now America is in serious debt. Who do they owe money to? The Chinese man! The Chinese man has put the British in debt again. He signed a lease for the British for one hundred years.
The British they built Hong Kong like they owned that land, that's how stupid they are. The British gave up Hong Kong by celebrating and dancing but China was getting back the most developed city in the world and they didn't have to do anything. It took just one life-time. Maybe the man who signed the lease is still around because some of those Chinese people can live until they're 110 or 112.
So guys, this is a warning for all African countries...
Mr Alex,
ReplyDeleteHere is a suggestion...make a point. The blame game has never made anybody a winner. You/We are in charge of our destiny. Please stop pointing fingers.
You see, in the end it is not what happened to you....but what you do with what happened to you....
I was expecting the next line to be aids, war, famine, corruption, racism, colonialism the regular stuff that you rastas sing about....
How about take charge of your life for a change?
I might be VERY wrong,but its highly unlikely that you could read and fully understand any material from Oxford. Cha-pombe
ReplyDeleteBrother Kaju,
ReplyDeleteThat is an amazing analysis. Matter of fact is: Aid doesn't work. Even a little child knows that. Problem is we lack visionary leadership. Sob sob sob.
Ni mimi Moyo wa Tembo
shame on with your kanyaga twende english, kwa nini usiandike kiswahili ?? kwani kukaa Marekani ni sababu za kukufanya ujione msomi wa lugha ???, first time when i heard your name Kajumlo, i thought you were something big ,smart and a thinker-kumbe ni muhogo tu tena mkavu. kwa taarifa yako, mzungu hakupi chochote bure, chunguza sana na kama huwezi kuufanya utafiti huo, basi uliza wasomi kina Mashaka au kina Zito. Zebedayo msema kweli.
ReplyDeleteYaani , huyu jamaa bogasi ile mbaya , na hasa hiyo lugha anayoitumia ya ( stupid) who do you think you are mr Kaju.... calling other people stupid ???? hivi wewe umevumbua nini katika maisha yako ?? na hapo ulipo una simu mkononi na unapanda gari, vitu vyote hivyo hakuna hata kimoja ulichogundua -wacha kuvitengeneza kama vinaharibika. why do we bother people who has done so much in this world ??? cha ajabu wewe umekimbia africa!!! sasa unaropoka eti tunapewa vitu bure !!!!!! labda wanakupa wewe huko. please stop this nonsense will you ??? asante kwa kunielewa. Zebedayo msema kweli.
ReplyDeleteKajumlo mbona sikuelewi? What are trying to convey, umasikini au lack of thinking?
ReplyDeleteMr. Kajumulo.
ReplyDeleteIt's sometimes better to leave the thinking and philosophising to the thinkers and philosophers!
What is this wild dog being tamed etc etc bullshit?
You got the whole idea so messed up...
Mdau wa Bongo
You would not believe this mpenzi Kajumulo. There have been many a times when I eagerly perused this blog looking for your contributions.Today, you have just made my day, with a classic.But there is a parody here, in that this time there is something tangible, as it were, in your diatribe(?)Go on continue to stimulate and entertain.But at times remember,...Proverbs 17:28..It is better to remain silent at the risk of being thought a fool, than to talk and remove all doubt of it.
ReplyDeleteYes , asanteni sana wadau, nilifikiri ni mimi tu nimekerwa na Mr Kaju, kumbo tuko wengi-lazima atakubali huko aliko kwamba ,kaongea utumbo- watu kama hawa wanatufanya wote africa tuonekane kanyaboya, maelezo yake hayaeleweki yaani imebidi nimpigie simu mwalimu wangu wa kingereza aliyenifundisha darasa la 4 ili naye afungue computer yake ,anitafasilie huu mkorogo wa Kajumlo, hata yeye hakuambua kitu, ila kasema Kwamba -Kajumlo ni historian mzuri sana, si kwa kusoma darasani !! ila , anaangalia sana vipindi vya CNN, kwa maana hiyo, anajua fika tarehe, siku ,dakika mwaka ambao British waliwakabidhi wachina Hongkong. Is this what we need to put food on our table ??
ReplyDeleteYaani katika watu naona hawaeleweki ni huyu jamaa anajiita Zebadayo msema kweli, wewe unamwambia Kajumulo,"shame on with your kanyaga twende english, kwa nini usiandike kiswahili ?? kwani kukaa Marekani ni sababu za kukufanya ujione msomi wa lugha ???," Yeye mwenyewe[Zebedayo] anasema,"please stop this nonsense will you ??? je hicho ni Kibantu?! naona ubadilishe jina, ujiite Zebadayo msema uongo. Nahisi umetumwa, kazi kuongea unafiki na kukorofisha. Nadahni ndiye wale wa chama cha majambazi.
ReplyDeleteThe trillion-shilling question here is: what, pray, has Alex Kajumulo done for Africa, or Tanzania for that matter? His rants against Western countries amount to biting the hand that feeds him, bearing in mind that he fled Tanzania a long time ago to seek refuge in the United States.
ReplyDeleteMdau,
Tandale kwa Mtogole,
Dar es Salaam
Acha kelele. Kuna maprofesa wengi sasa TZ ambao wamestaafu wanahangaika kuomba part-time vyuo mbalimbali na kutoa maoni kwenye ma-tv. Hawana kimoja zaidi ya kuajiriwa. Hivyo vipaper walivyoandika vimeishia kwenye journal hakuna hata anayevitafuta. Hii ni kusema tatizo la TZ sio elimu bali ni "lack of Innovation" yaani ubunifu hatuna.
ReplyDeleteUkitaka kumshinda mshindani wako mfanye awe rafiki yako jaribu kumsoma jinsi gani anafanya vitu vyake na baada ya hapo fanya kama yeye anavyofanya na baadae atakupeleka mahakamani umemcopy kwa kifupi kuwa kama Samsung alivyomfanyia Apple.
ReplyDeleteSouth Korea ndio Samsung kampuni inatoka na nchi hii miaka ya hamsini ilikuwa maskini kama sisi Tanzania lakini cha kufanya walipeleka watu wao wengi USA na Europe na baadae hao watu ndio walio leta maendeleo nchini kwao kwakucopy maendeleo ya kimagharibi.
Tatizo kubwa sisi Tanzania hasa watu wengi kwenye hii blog ya jamii hamtupendi watu tulioko huku Ulaya wakati sisi ndio chachu ya maendeleo tukizungumza mnatupinga sana na kututukana wakati mwingine.
Nawaomba mjaribu kujifunza kutoka kwetu mtaweza kuendelea lakini mkiendelea kupinga mtaishia kuwa watumwa wa nchi zingine kama amuelewi. Sio lazima uje huku tulipo sisiu ndio uweze kuwa mtumwa wa nchi nyingine utawezakuwa palepale ulipo kupitia vitu vifuatavyo;
-Mfumuko wa bei unaosababishwa na kupanda bei ya mafuta kwenye soko la dunia unaosababishwa na nchi za Ulaya na USA
-Kuongezeka kwa deni la Tanzania ambako utalipa kodi kubwa wewe na vizazi vijavyo, deni linaloletwa na nchi za magharibi ambalo linaongezeka kutokana na vitu kama Tanzania kuwa na low credit score ambayo inapangwa na makampuni ya nchi za magharibi
-Kuwa na viongozi wasiokuwa na maarifa ya kutosha kuhusiana na mikopo wanayochukua kutoka hizi nchi za magharibi
-Kutokubali kujifunza kutoka kwa watu kama sisi tunaojua njinsi hizi nchi za magharibi zinavyo endeshwa kwa kuishi huku tumejifunza mengi
- Namengine mengi
Muwe tayari kuwa na maisha magumu kwa Tanzania maana kufanya vizuri kiuchumi kunavutia mapapa wengi kutoka sehemu mbalimbali dunia walio smart ndio watakao faidi maisha. Tanzania yenye kukubali mchango wa walio nje ndio itakayo endelea.
Mdau UK
Watu wa bongo mna hasira na wivu. Mbona lugha iko poa. Inanikumbusha mwaka 47 tulipokuwa tuna debate shule, unakuja na vocabularies ngumu, botanical names etc. Enzi za MANKANGABILITY NA MABOZITY. Lol!! Mtu akiandika simple language mnaona sio lugha, kweli bado mko nyuma, you guys need some exposure. Tembea muone
ReplyDeleteMdau
Kassuwi, USA
Anonymous wa Fri Oct 19, 12:01:00 AM 2012 mbona dharau nyingi kwa Marasta? Umesahu mchango King Salissie(Rasta mwenyewe)?kuomba watu wake wafundishwe urubani.Muda ulivyoopita akili yake inaonekana, Ethiopia Airline, wapi Air Tanzania?!!. Na wala sigusii Bob Marley na mchango wake wa nyimbo za kimapinduzi kwa Waafrica.
ReplyDeleteMr Kaju,Unakunywa maji kotoka kisima gani???
ReplyDeleteDr Gangwe Bitozi.
Nimesoma maoni kama 16 yaliyo juu yangu. Zebedayo anasema Kajumulo awe kama Mashaka na Zitto. Kweli tuna kili ya mkoloni. Kwa vile Kajumulo avai suti kwenye jua kali la bongo kama hao, au kwa vile andikii Kiingereza cha mwizi Malikia basi ni bogasi? Tuache chuki binafsi.
ReplyDeleteNa Anonymous wa Fri Oct 19, 03:04:00 PM 2012, acha uvivu. Ukitaka kujua Alex amesaidiaje jamii, tumia huu huu mtandao, Google jina lake uone, kwa vile unajidai hujui machango wake kwa jamii. Na nyie mnAokazana kwamba wabongo wote walioko ughaibuni warudi bongo, wacheni upupu, kwani ni kitu kisichowezana. Siyo lazima watu wote watafute maisha bongo. Na kwavile hawako bongo, siyo kwamba wewe uliyepo hapo una haki zaidi kiTaifa. Tuongelee ishu jamaa aliyoileta tukitaka maendeleo. Mfano, amewataja Wachina, hawa jamaa ni kazi tu, wakija bongo ni hivyo hivyo, ndiyo tungekuwa tunaiga. Sie mdomo mdomo tu(Na mie vile vile nachap domo sasa) na kazi hamna.
Uhuru wa kuongea.
ReplyDeleteAny speech is nesessary.
Kwa jinsi Afrika inapoelekea kuna watu wengi tu wanaweza kukubaliana na Mr Kjumulo ila hawapewinafasi ya kuandika kwenye blogs.
Watu wa Mgharibi wanaamini Waafrika hatupendani.
Ukweli ni kwamba waafrika wasomi ndiyo hatupendani na inajidhihirisha wazi kama hivi tu kwenye majadiliano.
Maendeleo si kutengeneza magari ,ndege n.k
Dunia ipo kwenye machafuko makubwa ya hali ya hewa na pia mazingira ya Afrika yanaharibiwa sana, kwa asiyeona hawezi juwa ,ila ndiyo hivyo ilivyo.
Tusipo angalia Miaka ijayo Waafrika watabakia bila wanyama wao asili,pia mazingira mabovu n.k
Wenzetu wanatutega hamna cha elimu wala lolote kwenye inayohusu Afrika, kama umepata nafasi ya kusoma nao na kuelewa ni rahisi kuelewa hili.
Mr Kajumulo ameshaukata kwenye maisha yake ila kinamuuma kuona watu wanachezea mali zake tena za asili yake.
Watanzania tumeshatengana kimakundi,na ukabila unakuja, inadhihirisha haswa katika migogoro kati ya waislam na wakristo n.k
Zamani watanzania tulikuwa tunafuturu pamoja na tunasali pamoja .
hapo mbeleni itakuaje?
Tuamke jamani,tusipuuzie wazo lolote,tujipange na tuangalie undani wake.
Mw Nyerere alijenga Taifa lenye heshma na tunayaona matunda yake sasa.
Hatuhitaji kuendesha gari wala kujiletea maendeleo kwa kukubaliana na shinikizo za Wamagharibi.
China , Japan , n.k tunaweza kushirikiana nao na kushinikiza ni nini cha kufanya pindi tunapohitaji kuadopt teknolojia yoyote.
Leo hii mmagharibia anajifanya anamjua Simba kuliko mmasai.Wanaishia kuwapiga madawa ya kulevya na baadhi kujakuwapandikiza kwao ili miaka ijayo Simba wawe kwao tu.
Samahani kama nimewaudhi baadhi ya watu ,ila ndiyo ilivyo.Tujenge Tanzania ya miaka 3000 ijayo
ALUTA CONTINUA, MAPAMBANO BADO YANAENDELEA, JAH SURVIVAL, BLACK SURVIVAL, BLACK MAN REDEMPTION,LEGALIZE MARIJUANA, BOB MARLEY & THE WAILERS, CHE GUEVARA,etc, etc, etc, etc....blah blah blah.....
ReplyDeleteI see many Android applications made by university undergraduates deep in Bangladesh. What's happening in our universities? Lets start blaming ourselves for our failures and stop this black / white scapegoating.
mim sioni chochote cha ajabu Dr Kajumulo alichoongelea.hata kiingereza chake ni rahisi kuelewa na sio kibaya.
ReplyDeletewatanzania tuache kuchukiana pasipo sababu za msingi.