Wadau wakishuhudia Amana Bank ikizindua huduma ya Amana Mobile Banking katika Serena Hotel jijini Dar es salaam
ICT, Manager- Delivery Channels (Bi . Bidala Mohammed Mwandugu ) akielezea jinsi ya utumiaji wa huduma ya Amana Mobile Banking
Mkuu wa Kitengo cha Bishara Bw. Sudi Marungu - Amana Bank. akizinduwa huduma ya Amana Mobile Banking
Wadau wakishuhudia Uzinduzi wa Amana Mobile Banking
Amana Bank,
Benki ya kwanza Tanzania inayofuata Sharia kikamilifu, leo tunazindua huduma ya
“Amana Mobile”.
Akizungumza
na waandishi wa habari Mkuu wa Kitengo cha Biashara (Amana Bank)
Bw. Sudi Marungu alisema Dar es salaam
kuwa “ Amana Mobile ni huduma za kibenki kwa kutumia mtandao wa internet na simu
zamkononi.” “Huduma hii inalenga kuwa rahisishia wateja wetu kufanya
miamala nakupata huduma mbalimbali ambazo zinatolewa na benki yetu kwa njia ya mtandao. Lengo la kuanzisha huduma hii nikurahisisha usimamizi
wa akaunti zawateja wakati wowote, popote walipo siku saba za wiki.”
hongera sana kaka sudi Marungu- atu
ReplyDelete