TAARIFA ILIYOIFIKIA GLOBU YA JAMII HIVI PUNDE KUTOKA JIJINI DAR,INAELEZA KUWA KUNA MTU MMOJA AMEKUTWA AMEUWAWA KIKATILI SANA NA MAITI YAKE KUTELEKEZWA KWENYE GARI NDOGO AINA YA TOYOTA COROLLA AE 110 YENYE NAMBARI ZA USAJIRI T 444 BYK MAENEO YA SINZA MADUKANI JIRANI NA HOTEL YA NAMNAANI.

 MPAKA SASA HAIJAFAHAMIKA CHANZO CHA KUUWAWA KWA MTU HUYO AMBAYE HATA JINA LAKE PIA HALIJATAMBULIKA. 

ASKARI POLISI WAMESHAFIKA ENEO LA TUKIO NA KUUCHUKUA MWILI WA MAREHEMU HUYO KWA AJILI YA UCHUNGUZI ZAIDI. 

TUTAENDELEA KUPEANA TAARIFA ZAIDI KADRI ZITAKAVYOKUWA ZIKITUFKIA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. nini maana ya maneno haya taatifa, usajiri? nashangaa mtu anaweza kuandika neno kikatili lakini anashindwa kuandika ujasajili!!!!!

    ReplyDelete
  2. ANONY 1 HAPO JUU, NI KWELI WALIO WENGI WETU TUNASHINDWA KUJUA TOFAUTI YA 'R' NA 'L' NA UKIIWEKA PASIPO USAHIHI UNAWEZA HATA KUPOTOSHA MAANA, WAANDISHI AU WANA HABARI WOTE WAWE MAKINI KWA MAANA WENGI NDIO WANAJIFUNZIA HAPO. SASA NA WEWE HILO NENO 'UJASAJILI' NALO NI NINI? ACHA HARAKA SOMA KABLA YA KUTUMA.

    ReplyDelete
  3. Genge la wajinga. Kipofu + kipofu = Wabongo. Hao ndio nyani haoni 'ndekule' (manenomengine yana ukakasi kutamka.

    ReplyDelete
  4. Je Kunataharifa zozote za zaidi kuhusu huyu Marahemu?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...