Wanahitajika wataalamu wa kutafsiri Kiswahili kwenda lugha yoyote au lugha yoyote kwenda Kiswahili kwa mfano German > Swahili, Chinise > Swahili, Japanese > Swahili bila kusahau lugha zetu zote za asili kama Kisukuma, kihaya n.k kama unaweza kutafsiri hizi lugha tunaomba ujisajili kwenye
Kwa maelezo zaidi tembelea



Ungetumia neno rakhisi na fasaha WAKALIMANI, kuliko hiyo Wafasiri/watafsiri......hata hivyo ujumbe umefika, just for the next time.
ReplyDeleteThanks so much for this post,
ReplyDeleteyou can see who have already registered at http://www.africanlinguists.net/Default.aspx?pageId=1368353
Thanks so much for this post,
ReplyDeleteTo see who have already registered at http://www.africanlinguists.net/Default.aspx?pageId=1368353