Mratibu wa Mradi wa chama cha Wakutubi kutoka Finland (Finnish Library Association- FLA). Mama MARJATTA LAHTHI (aliesimama) akiwaelezea baadhi wa wakutubi wanaohudhuria mafunzo ya  matumizi ya Kompyuta jinsi mradi wake utakavyosaidia  baada yakutoa mafunzo mbalimbali ya matumizi ya Kompyuta kwa wakutubu hao kutoka maktaba mbalimbali nchini.Mafunzo hayo ya muda mfupi yameanza Oktoba 15.2012 jijini Dar es Salaam
 Mratibu wa Mradi wa chama cha Wakutubi kutoka Finland (Finnish Library Association- FLA). Mama MARJATTA LAHTHI (aliesimama) akiwaelezea baadhi wa wakutubi wanaohudhuria mafunzo hayo
 Mratibu wa Mradi wa chama cha Wakutubi kutoka Finland (Finnish Library Association- FLA). Mama MARJATTA LAHTHI akiendelea kutoa somo
 Baadhi ya washiriki  kutoka maktaba mbalimbali nchini wakifanya mazoezi ya matumizi ya Kompyuta  jijini Dar es Salaam Oktoba 15.2012
Mratibu wa Mradi wa chama cha Wakutubi kutoka Finland (Finnish Library Association- FLA). Mama MARJATTA LAHTHI akisisitiza jambo. Picha na Mwanakombo Jumaa - MAELEZO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...