Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU), Dkt. Edward Hosea akitoa za mwisho kwa mwili wa mtangulizi wake Meja Jenerali Mstaafu Anatory Kamazima, wakati wa ibada ya kumuaga iliyofanyika nyumbani kwake Tegeta Dar es Salaam. Kamazima aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU alifariki dunia mwanzoni mwa wiki katika hospitali kuu ya Jeshi Lugalo Dar es Salaam na anatarajiwa kuzikwa kijijini kwao Bugashani, Maruku, Mkoani Kagera. Picha na Michael Jamson

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...