Jaji Kiongozi, Mhe. Fakih Jundu na ujumbe wake aliombatana nao wakipata maelezo juu ya maendeleo ya jengo jipya la Mahakama ya Wilaya Kisarawe, kutoka kwa Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo Mhe. Hadija Msongo (mwenye ushungi) katika ziara yake ya kutembelea baadhi ya Mahakama zilizopo katika mkoa wa Pwani, lengo ya ziara yake ni kujionea maendeleo ya Mahakama hizo na kujua utendaji kazi wa wafanyakazi wa Mahakama hiyo. Jaji Kiongozi pia alipata nafasi ya kutembelea Mahakama ya Wilaya ya Msoga/Lugoba, Mahakama ya Mwanzo-Kibaha Maili moja na Mahakama ya Hakimu Mkazi (Mkoa) Pwani. (Picha na Mary Gwera, Mahakama ya Tanzania)
Home
Unlabelled
JAJI KIONGOZI MHE. FAKIH JUNDU AFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA BAADHI YA MAHAKAMA KATIKA MKOA WA PWANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Unene huu; mbona hatari
ReplyDelete