Mshambuliaji
wa Simba, Felix Sunzu akishangilia bao la kwanza aliloifungia timu yake dhidi
ya Kagera Sugar wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika
kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. Timu hizo zilitoka sare ya
2-2.
Beki wa Kagera Sugar, Salum Kanoni (kushoto) akichuano na mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi
Kiungo wa Kagera Sugar, Malegesi Mwangwa akichuana na mshambuliaji wa Simba, Mrisho Ngassa
Beki wa Kagera Sugar, Amandus Nesta akimiliki mpira huku akizongwa na beki wa Simba, Amir Maftah katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika jijini Dar es Salaam leo. Timu hizo zilitoka sare ya 2-2
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...