EMMANUEL
KAGANDA
12
Aprili 1933 – 17 Oktoba 1988
Miaka 24 imepitatanguulipotwaliwana Bwana.
Kama upepomwananauvumaobilaukomo, unaendeleakudumumawazoninamioyonimwetu.
Tunakumbukanakukosaupendo,ucheshi, busaranahekimazako.
Tunazidikuenzimchangowakomkubwakatikamaishayetu.
Hakikapengolakohalitazibikakamwe!
Unakumbukwana Mama Salome,
watotowakonawenzawao, wajukuu, ndugu, majiraninamarafiki.
TunamuombaMwenyeziMungu, mwingiwarehemaakuongezeeneemahukoulikopumzika.
Naam,
tuonanemtonikwaWatakatifu!
RIP Mr Kaganda
ReplyDelete