BAADA YA MAFANIKIO MAKUBWA YALIYOPATIKANA KATIKA MPANGO WA KAZI NJE NJE 2011 SHIRIKA LA KAZI DUNIANI KITENGO CHA UJASIRIAMALI (YOUTH ENTREPRENEURSHIP FACILITY) KWA KUSHIRIKIANA NA KITUO CHA TEHAMA CHA TAASISI YA TEKNOLOJIA DAR ES SALAAM (DIT) LINAKARIBISHA MAOMBI KUTOKA KWA VIJANA WAHITIMU WA VYUO VIKUU WENYE NDOTO NA MALENGO YA KUJIAJIRI KAMA WATAALAMU WA UJASIRIAMALI NA UKUZAJI WA BIASHARA KATIKA SEKTA YA TEHAMA (ICT ENTREPRENEURSHIP) ILI KUJIUNGA NA MPANGO WA KAZI NJE NJE KIPINDI CHA KUMALIZIA MWAKA 2012
MAOMBI YA KUJIUNGA NA MPANGO WA KAZI NJE NJE –
TEHAMA YANAKARIBISHWA KUTOKA KWA VIJANA WENYE SIFA ZIFUATAZO:
Elimu – Shahada ya kwanza - TEHAMA
Umri – Miaka 26 – 30, Jinsia zote
Wazo Wazo yakinifu la TEHAMA
AWE TAYARI KUJIAJIRI KUTOKANA NA WAZO LAKE
BAADA YA MAFUNZO.
MUDA WA KUPOKEA MAOMBI NI KUANZIA TAREHE 10 HADI 22 OCTOBER.
KWA MAELEZO ZAIDI NA JINSI YA
KUJIUNGA TEMBELEA TOVUTI ZETU www.yefafrica.org na www.ilo.org/daressalaam
AU NENDA KATIKA KITUO CHA TEHAMA
– TAASISI YA TEKNOLOJIA DAR ES SALAAM (DIT) http://www.itcoeict.dit.ac.tz/
Simu: 0755758580


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...