Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo, ( kati kati ) akiwa ameketi kwenye dawati, na Meneja wa Kanda ya Mashariki wa Benki hiyo, Gabriel Ole Loibanguti (kushoto) na ( kulia) ni Mwalimu Mkuu wa Shule ,Leochrista Bavon, ni baada ya makabidhiano ya madawati 50 kati ya 76 yaliyotolewa na NMB kufuatia maombi ya msaada wa Mbunge huyo ili kukabiliana na uhaba wa madawati kwenye baadhi ya shule za Msingi Jimboni humo, hafla iliyofanyika shuleni hapo, Oktoba 25, mwaka huu.
Home
Unlabelled
MAKABIDHIANO YA MADAWATI KATI YA UONGOZI WA NMB NA MBUNGE WA JIMBO LA MVOMERO, AMOS MAKALLA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zile pesa chenji ya rada zimeenda wapi nilisikia zitatumika kununua madawati, au viongozi wameweka madawati majumbani mwao
ReplyDelete