Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akiwa pamoja na Viongozi na Wananchi mbalimbali katika Swala ya Iddi El Hajji ilioswaliwa katika Msikiti wa Mwembe Shauri Masjid Mushawwar Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi alipowasili katika Viwanja vya Salama Bwawani kuhutubia Baraza la EID El Hajj,lililofanyika leo .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akiwahutubia wananchi na waislamu wa Zanzibar katika baraza la EID El Hajj,lililofanyika katika Ukumbi wa salama Bwawani Hotel Mjini Zanzibar Leo. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Zaidi ya kutuwekea picha mimi nadhani inaleta maana zaidi kutufahamisha kwa kifupi katika hotuba yake mheshimiwa amagusia mambo gani. Hii inatuwezesha na sisi kufaidika japo kwa kidogo na kile kilichojiri katika baraza hilo.

    ReplyDelete
  2. naumunga mkona sana mdau mwenzangu tuabiye hutuba yake kasema nini na kama viongozi wa uamsho wameruhusiwa kusali siku ya eid

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...