DR.NZUNDA WA MBELE AKIWA ANAMPELEKA MUHESHIMIWA MBUNGE KUPANDA NDEGE
MUHESHIMIWA MBUNGE, MARY MWANJELWA AKIWA ANAPANDISHWA KATIKA NDEGE
HII NDIO NDEGE AMBAYO MUDA SI MREFU ITARUKA KUELEKEA DAR ES SALAAM
MUHESHIMIWA MKUU WA MKOA ABASS KANDORO AKIWA ANAAGANA NA MH.MBUNGE WA VITI MAALUM MARY MWANJELWA
MH. MKUU WA WILAYA WA MBEYA AKIWA ANAMUAGA MH MBUNGE
ReplyDeletewakubwa wakijeruiwa zipo ndege za haraka haraka za kuwasafirisha lakini watu wa kawaida wangejifia huku hakuna msaada wowote. double standard ya ajau sana.
anaumwa nini? mbona habari haijitoshelezi michu
ReplyDeleteaaaah waliopata ajali ni wawili tu? nani analipa gharama za usafiri wa na matibabu?bila shaka itakua ni kodi za walala hoi!
ReplyDeleteKapata ajali mbona walioumia wengine hawapo kwenye ndege double standard bongo bado sana
ReplyDeletemajeruhi wengine walioumia vibaya mbona hawakupewa rufaa ya Muhimbili na kusafirishwa kwa ndege?
ReplyDeletemuandishi tupe na taarifa za wengine!!!! Hapo ndipo wananchi wataelewa kuwa mgomo wa madaktari ulilengwa kuwasaidia wao...poleni sana wote
ReplyDeleteThis is double standards No maana watu hawataki tena hawa MAGAMBA
ReplyDeletewalalahoi mtabakia kulipa kodi tu sisi mafisadi ndio tunakula nchi mtapiga domo weee sisi tunaendelea kutesa tu
ReplyDeletenyie walalahoi mnakufa kila siku kwenye maajali ya mabasi mtaishia kufia hukohuko kwenye ajali ilipotokea
mnataka kutufananisha sisi wajanja eti mpande ndege kama sisi hahaha na badoooo
mtajijuuu ndege tunapanda sisi bwana mafisadi tena tunatumia hela zenu walalahoi waliwa na mbu + kunguni hahaha halooooo mmetuchagua wenyewe sasa kinawawasha nini
dada nenda katibiwe huko muhimbili wakishindwa mihela tunayo tutakupeleka india kwa raha zetu hahaha achana na hao njaa njaa wapewe asprin na malariaquin
It is a class society,bila shaka atapelekwa India kwa kula kodi. Bongo imeoza.
ReplyDeleteaaaah huyu ni mlala hoi mwenzetu, mafisadi hawafiki humu
ReplyDelete