DR.NZUNDA WA MBELE AKIWA ANAMPELEKA MUHESHIMIWA MBUNGE KUPANDA NDEGE

MUHESHIMIWA MBUNGE, MARY MWANJELWA AKIWA ANAPANDISHWA KATIKA NDEGE
DEREVA MH.MBUNGE AKIWA ANAINGIZWA NDANI YA NDEGE SASA

HII NDIO NDEGE AMBAYO MUDA SI MREFU ITARUKA KUELEKEA DAR ES SALAAM
MUHESHIMIWA MKUU WA MKOA ABASS KANDORO AKIWA ANAAGANA NA MH.MBUNGE WA VITI MAALUM MARY MWANJELWA
MH. MKUU WA WILAYA WA MBEYA AKIWA ANAMUAGA MH MBUNGE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa


  1. wakubwa wakijeruiwa zipo ndege za haraka haraka za kuwasafirisha lakini watu wa kawaida wangejifia huku hakuna msaada wowote. double standard ya ajau sana.

    ReplyDelete
  2. anaumwa nini? mbona habari haijitoshelezi michu

    ReplyDelete
  3. aaaah waliopata ajali ni wawili tu? nani analipa gharama za usafiri wa na matibabu?bila shaka itakua ni kodi za walala hoi!

    ReplyDelete
  4. Kapata ajali mbona walioumia wengine hawapo kwenye ndege double standard bongo bado sana

    ReplyDelete
  5. majeruhi wengine walioumia vibaya mbona hawakupewa rufaa ya Muhimbili na kusafirishwa kwa ndege?

    ReplyDelete
  6. muandishi tupe na taarifa za wengine!!!! Hapo ndipo wananchi wataelewa kuwa mgomo wa madaktari ulilengwa kuwasaidia wao...poleni sana wote

    ReplyDelete
  7. This is double standards No maana watu hawataki tena hawa MAGAMBA

    ReplyDelete
  8. walalahoi mtabakia kulipa kodi tu sisi mafisadi ndio tunakula nchi mtapiga domo weee sisi tunaendelea kutesa tu

    nyie walalahoi mnakufa kila siku kwenye maajali ya mabasi mtaishia kufia hukohuko kwenye ajali ilipotokea

    mnataka kutufananisha sisi wajanja eti mpande ndege kama sisi hahaha na badoooo

    mtajijuuu ndege tunapanda sisi bwana mafisadi tena tunatumia hela zenu walalahoi waliwa na mbu + kunguni hahaha halooooo mmetuchagua wenyewe sasa kinawawasha nini


    dada nenda katibiwe huko muhimbili wakishindwa mihela tunayo tutakupeleka india kwa raha zetu hahaha achana na hao njaa njaa wapewe asprin na malariaquin

    ReplyDelete
  9. It is a class society,bila shaka atapelekwa India kwa kula kodi. Bongo imeoza.

    ReplyDelete
  10. aaaah huyu ni mlala hoi mwenzetu, mafisadi hawafiki humu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...