Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akitoa
hotuba yake mbele ya wanachama wa VICOBA Tanzania wakati hafla ya
Uzinduzi wa Maonyesho ya Miaka Kumi ya Wafanya biashara ndogo ndogo na
Wajasiliamali
wa VICOBA uliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar
es Salaam
leo.Katika Hobuba yake,Mh. Lowassa aliwapongeza wana VICOBA kwa kuweza
kujiajiri,kwani tatizo la ajira nchini bado ni tatizo kubwa na ni bomu
linaweza kulipuka wakati wowote.Maonyesho hayo yataendelea mpaka
jumamosi ijayo Oktoba 27.
Naibu
Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Makongoro Mahanga akizungumza machache
kabla ya kumkaribisha Mgeni Rasmi kuzungumza na Wanachama wa VICOBA.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akicheza
muziki sambamba na Wanachama wa VICOBA Tanzania wakati wa uzinduzi wa
Maonyesho ya Biashara ya Miaka Kumi yam Wajasilia Mali wa VICOBA tangu
kuanzishwa kwakwe,iliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar
es Salaam.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akibonyeza kitufe kwenye kompyuta ikiwa ni ishara ya Uzinduzi rasmi wa
Maonyesho ya Miaka Kumi ya Wafanya biashara ndogo ndogo na Wajasiliamali
wa VICOBA uliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar
es Salaam.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akiagana na baadhi ya Wanachama wa VICOBA mara baada ya uzinduzi wa
Maonyesho ya Miaka Kumi ya Wafanyabiashara ndogo ndogo na Wajasiliamali wa VICOBA uliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar
es Salaam.
KUONA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA
au
BOFYA HAPA
KUONA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA
au
BOFYA HAPA







Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...