Msaidizi wa Balozi wa Tanzania nchini Italia,Mh. Salvator M.J. Mbilinyi akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Jumuiya ya Watanzania Italia
na baadhi ya wajumbe
Jumuiya ya Watanzania Italy iliandaa mkutano
Msaidizi wa Balozi wa Tanzania nchini Italia,Mh. Salvator M.J. Mbilinyi akizungumza machache wakati wa mkutano wa viongozi na wajumbe kwa ajili ya kuweza kutoa ufafanuzi kwa
Watanzania walio ughaibuni kushiriki kuchangia maoni ya upatikanaji wa
katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.


Je balozi zote ughaibuni zitafanya haya? Au uamuzi kibinafsi?
ReplyDelete