Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Mahadhi Juma Maalim ( Mb) akizungumza wakati wa Mkutano wa 67 wa Baraza Kuu la Umoja wa  Mataifa jijini New York siku ya Jumatano na  kujadili pamoja na  mambo mengine  Muongo wa  Kuitokomeza Malaria Afrika. katika mchango wake, Naibu Waziri amesema Tanzania na Afrika kwa ujumla  iko katika mwelekeo mzuri wa kukabiliana na ugonjwa huo na hasa kwa kuzingatia imekwisha kujifunza ni mbinu gani zinafanya kazi na zipi hazifanyi kazi katika kuukabii ugonjwa huo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...