Kikosi cha Timu ya Mpira wa Miguu cha Masai Football Club ya Mto ya Makuyuni,Monduli mkoani Arusha kikiwa katika picha ya pamoja.Timu hii imetoa majigambo ya kwamba hakuna timu yeyote itakayoweza kuchukua point mikononi mwao kwani wao wako fiti kikweli kweli.
Mtanange wa kujipima nguvu kwa timu hiyo ukiendelea katika uwanja wa Chuo cha Ualimu,Monduli.
Mchezaji wa timu hiyo akiendelea kuchanja mbuga wakati wa mchezo wa kujipima nguvu.
Hapa hapiti mtu.








ilikua majira ya mchana ama usiku?
ReplyDeleteHukusikia vizuri, sikusema kwamba hawajui kucheza mpira, nilisema; hawachezagi mpira mchana.
ReplyDeleteUnajua hawa wenzetu wanachosema ni kweli...hakuna atakayewaweza kama mazingira ya kuchezea ndo haya...wanachezea gizani, wana night vision eyes kama simba. Wewe ukicheza nao mpira utauona wapi? Mdau,CA-USA
ReplyDeleteDuh! we mdau kiboko..unasema "hukusikia vizuri..... hapo umendiaka au umesem? nilidhani ungesema hukusoma vizuri!!!
ReplyDelete......halafu wnacheza na sime zao viunoni, ukimlamba chenga anachomoa sime!!
ReplyDeleteSisi Maasai wooote ni Yanga S.C sababu ni nini?
ReplyDeleteSimba ni adui yetu nakula ng'ombe setu kwa Boma!
du kwa mtaji huo wakucheza na panga lazima ufungwe!!1
ReplyDeleteukimpiga chenga mbaya, anatoa jambia, lazima utamwachia mpira!
ReplyDeleteChonde chonde jamani sime hizooo.......
ReplyDeleteKiboko ni pale watakapopiga msamba, silaha za maangamizi zaidi zitaanikwa hivyo wakwe msiende uwanjani.
ReplyDelete