Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. YANGA S.C ndio zaidi

    Bao la matokeo hiyo saa 2:30 usiku filimbi ya mwisho ikipulizwa kuashiria kumalizika mpira litasoma:

    YANGA S.C-1936
    SIMBA S.C-0

    Hapo ndio kusema tutashuhudia kwa mara ya kwanza mabao sawa na mwaka wa kuzaliwa kwa Klabu ya simba?

    ReplyDelete
  2. Yanga BUNDUKI KUBWA!

    Mnyama anaelekezwa Kibla na analiwa supu ya jioni kwa chapati laini!!!

    Mimi nitawahi maini na ulimi wa mnyama !

    ReplyDelete
  3. Mimi Masai nasema, pale kwa Boma yetu ile Simba sisi ni adui yetu kuuuba kabisa nakula ng'ombe setu.

    Ile naona Simba nakuja kwa Boma ya ng'ombe nachukua sime nakata kichwa shwaaaa!

    Ni hifi mimi Laisa Ole Naikiyo nasema eee?

    ukiona manyoya leo ushiku saa bili na nusu usiulise!

    ReplyDelete
  4. kamua Simba Kamua...Simba 2 -Yanga 1
    kwa hio Yanga wamelala Tena

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...