Meneja wa NMB Kanda ya Ziwa, Straton Chilongola (kushoto) akikabidhi moja ya madawati 100 yaliyotolewa na NMB yenye thamani ya shilingi milioni 5 kwa Afisa Elimu wa wilaya ya Busega,Mwita Chogoro kwa ajili ya Shule za Msingi Muungano,Nyamatembe na Mwamkinga ikiwa ni msaada uliyotolewa na benki ya NMB.
Meneja wa NMB Kanda ya Ziwa, Straton Chilongola (kushoto) akikabidhi moja ya madawati 50 yenye thamani ya shilingi milioni 5 kwa mkuu wa Shule ya Msingi Muungano,Maswali Buyunge ikiwa ni sehemu ya msaada uliotolewa na NMB kwa shule hiyo.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Muungano iliyopo kijijini Kirejeshi,wilaya ya Busega mkoani Simiyu,wakiwa wameketi katika baadhi ya madawati 50 waliyokabidhiwa na benki ya NMB ikiwa ni msaada wa benki ya NMB kwa shule hiyo.
Meneja wa benki ya NMB Rorya,Penina Kiranga ( kati) akikabidhi vifaa ikiwa ni sehemu ya madawati 50,meza 19 pamojanaviti 19 vyenye thamani ya shilingi 5 milioni kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Sota Bw.Steven Dhaje (pilikushoto) iliyopo Rorya, Mara. Wakishuhudia ni Meneja wa NMB Kanda ya Ziwa, Straton Chilongola, (Kulia) Afisa wa benki na Mwalimu wa Shulehiyo.
Meneja wa NMB Kanda ya Ziwa , Straton Chilongola akiwasalimia wanafunzi wa Shule ya Msingi Sota iliyopo Rorya mkoani Mara,baada ya kuwakabidhi madawati,meza pamoja na viti nyenye thamani ya shilingi milioni tano.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...