Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Makamu wa Rais Dkt Mohamed
Ghalib Bilal leo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
mara alipowasili kutoka katika ziara rasmi ya siku nne nchini Oman.
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wananchi
waliojitokeza kumpokea leo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere mara alipowasili kutoka katika ziara rasmi ya siku nne
nchini Oman.
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Kamanda wa Polisi wa Kanda
Maalumu ya Dar es salaam Suleiman Kova leo katika uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere mara alipowasili kutoka katika ziara rasmi
ya siku nne nchini Oman.
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni
Mhe Jordan Rugimbana leo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere mara alipowasili kutoka katika ziara rasmi ya siku nne nchini
Oman.






Karibu sana nyumbani Mh.Rais.Tunahitaji AMANI kuliko kitu chochote.....Sisi waTZ bado ni "wamoja' na ndugu bila kujali tofauti zetu za Ki-Itikadi, dini,jinsia n.k.Your Excellency Hon/Mr.President....Pliiiiiz.
ReplyDeleteDavid V
Karibu sana Mh Raisi. Busara zako zinahitajika katika kuinusuru Tanzania na vita ya kidini. Nakuamini mkuu wangu wa nchi kuwa una uwezo wa kulitatua hili.
ReplyDelete