Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akiwa pamoja na Viongozi na Wananchi mbalimbali katika Swala ya Iddi El Hajji ilioswaliwa katika Msikiti wa Mwembe Shauri Masjid Mushawwar Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi alipowasili katika
Viwanja vya Salama Bwawani kuhutubia Baraza la EID El
Hajj,lililofanyika leo .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akiwahutubia wananchi na waislamu wa
Zanzibar katika baraza la EID El Hajj,lililofanyika katika Ukumbi wa
salama Bwawani Hotel Mjini Zanzibar Leo.
Zaidi ya kutuwekea picha mimi nadhani inaleta maana zaidi kutufahamisha kwa kifupi katika hotuba yake mheshimiwa amagusia mambo gani. Hii inatuwezesha na sisi kufaidika japo kwa kidogo na kile kilichojiri katika baraza hilo.
ReplyDeletenaumunga mkona sana mdau mwenzangu tuabiye hutuba yake kasema nini na kama viongozi wa uamsho wameruhusiwa kusali siku ya eid
ReplyDelete