Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ankal,Omba kibali TBC1,TBC2 utuwekee clips kadhaa(audio tu zinatosha) za hotuba za Baba wa Taifa,siku moja ya leo si mbaya nadhani watakubali.Nasikia serikali ilipiga marufuku uuzaji wa hotuba za baba wa Taifa mitaani(CD,kanda,n.k)-kwnn??
ReplyDeleteDavid V
It is very sad how we have trashed Mwalimu's policies. We should be ashamed. Those were great policies which created opportunities and equality for everyone. Mungu amulaze mahali pema!!
ReplyDeleteNaomba hotuba yake aliyoitoa katika bunge la south africa.
ReplyDeleteItakuwa unafiki mtupu kwa sisi watanzania kusikiliza hotuba hizo, siasa za mzee tumeshaweka kapuni. Nchi inaliwa na wachache kabisa waliosoma bure wakati wa Nyerere. Ona sasa, ufisadi ndio kama policy ya nchi. Watu wanalumbikizana vyeo utafikiri hakuna wengine wa kufanya kazi hizo.
ReplyDelete