Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Ankal,Omba kibali TBC1,TBC2 utuwekee clips kadhaa(audio tu zinatosha) za hotuba za Baba wa Taifa,siku moja ya leo si mbaya nadhani watakubali.Nasikia serikali ilipiga marufuku uuzaji wa hotuba za baba wa Taifa mitaani(CD,kanda,n.k)-kwnn??

    David V

    ReplyDelete
  2. It is very sad how we have trashed Mwalimu's policies. We should be ashamed. Those were great policies which created opportunities and equality for everyone. Mungu amulaze mahali pema!!

    ReplyDelete
  3. Naomba hotuba yake aliyoitoa katika bunge la south africa.

    ReplyDelete
  4. Itakuwa unafiki mtupu kwa sisi watanzania kusikiliza hotuba hizo, siasa za mzee tumeshaweka kapuni. Nchi inaliwa na wachache kabisa waliosoma bure wakati wa Nyerere. Ona sasa, ufisadi ndio kama policy ya nchi. Watu wanalumbikizana vyeo utafikiri hakuna wengine wa kufanya kazi hizo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...