Ndugu Wananchi,
Mtihani wa Kidato cha Nne mwaka 2012 utafanyika nchini kote kuanzia tarehe 08, hadi tarehe 25 Oktoba, 2012. Jumla ya watahiniwa walioandikishwa kufanya mtihani ni 481,414 wakiwemo wavulana 263,202 sawa na asilimia 54.67 na wasichana 218,212 sawa na asilimia 45.33. 

Idadi hiyo ya watahiniwa wote walioandikishwa mwaka 2012 ni ongezeko la watahiniwa 31,090 sawa na asilimia 6.90 ikilinganishwa na watahiniwa 450,324 walioandikishwa kufanya mtihani huo mwaka 2011.  Watahiniwa wote walioandikishwa kufanya mtihani mwaka 2012 wamegawanyika katika makundi matatukama ifuatavyo: BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...