MJANE WA BABA WA TAIFA, MAMA MARIA NYERERE, ALIPOKUWA LUSAKA, ZAMBIA,  KATIKA MAZISHI YA ALIYEKUWA MKE WA RAIS WA KWANZA WA ZAMBIA , MAMA BETTY KAUNDA. MAMA KAUNDA ALIZIKWA TAREHE 28 SEPTEMBA 2012, MJINI LUSAKA NCHINI ZAMBIA.  PICHANI  MARIA MARIA AKIAMBATANA NA MHE. GRACE JOAN MUJUMA, BALOZI WA TANZANIA NCHINI ZAMBIA, MARA BAADA KUFIKA SHAMBANI KWA MHE DK. KENNETH DAVID KAUNDA , ENEO ALIKOZIKWA MAREHEMU MAMA BETTY KAUNDA

MAMA MARIA AKIWEKA SHADA LA MAUA KATIKA KABURI LA MAREHEMU MAMA BETTY KAUNDA BAADA YA KUZIKWA, HUKU AKISHUHUDIWA NA MHE. BALOZI GRACE MUJUMA NA AFISA UBALOZI


MAMA MARIA NYERERE AKIWA ANAMSHUKURU MUNGU BAADA YA KUMALIZA KUWEKA SHADA LA MAUA.  

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kwa kweli nimeshangazwa sana katika picha hii kuona stola(skafu) inayovaliwa na mapadre au wachungaji imevaliwa na askari wa jeshi, ni kusema huyo padre pia ni askari au ni nini hiki?

    ReplyDelete
  2. wewe! angalia cola ya shati lake na isitoshe padri kuwa askari si ajabu! pengine hatachukua rushwa lol!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...