JUMUIYA YA WAISLAM
WAISHIO SLOUGH UK (EAST AFRICAN COMMUNITY – SLOUGH) WANAPENDA KUWATANGAZIA WAISLAM WOTE WAKE KWA
WAUME WADOGO KWA WAKUBWA KUTOKA MAENEO YOTE YA SLOUGH NA VITONGOJI VYAKE KUA SALA YA
EID KWA SLOUGH ITASALIWA SIKU YA IJUMAA TAREHE 26-10-2012 HAPO CIPPENHAM,
ADDRESS: CIPPENHAM COMMUNITY
CENTRE, EARLS LANE, CIPPENHAM, SL1 5DJ.
INSHA’ALLAH. TAKBIRA ZITAANZA SAA MBILI NA NUSU ASUBUHI (08:30 AM) NA SALA YA EID UL UDH’HA
ITASALIWA SAA TATU KAMILI ASUBUHI (09:00 AM) INSHA’ALLAH, WAPENDWA WAUMINI TUJITAHIDINI
KUFIKA KWA WINGI NA KWA WAKATI ILI TUSIKOSE FADHILA NYINGI ZA SIKU HII ADHIMUN
KABISA, TAFADHALI UKIPATA UJUMBE HUU MFIKISHIE NA MWENGINE
USTADH: MASHEKO:
07405356280
EID MUBARAK…


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...