Warembo wa Redd's Miss Tanzania wakitoana
jasho kwenye michezo mbalimbali iliyofanyika kwenye ufukwe wa Hoteli ya Jangwani SeaBriz jijini Dar es Salaam.
Warembo walioingia hatua ya Tano Bora katika mashindano ya Michezo Mbali mbali wakiwa kwenye picha ya pamoja.
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI





Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...